Friday, 9 January 2015

ANGALIA WACHEZAJI WA AFRICA LYON WALIVYOPIGWA NA MASHABIKI WA LIPULI

Mchezaji wa Africa Lyon, Rajab Khamis aliumia mkono kufuatia kupigwa na mashabiki wa Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliopigwa juzi na kumalizika kwa suluhu.
Raizan Hafidh aliumia nyama za paja baada ya kukatwa mtama ba kukanyagwa katika paja na mashabiki wa Lipuli
 
Kasim Simbaulanga naye aliumia mkono kutokana na fujo hizo

 




No comments:

Post a Comment