Friday, 9 January 2015

JOH MAKINI ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO NA HAYA NDO MAZITO ALIYOYAELEZA YACHEKI HAPA MTU WANGU






Nyota wa muziki wa Hip Hop kutoka kundi la Weusi, Joh Makini akipozi katika studio za Global TV Online kabla ya kuhojiwa.

Joh Makini akilonga na Global TV Online.

...akifafanua jambo.

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kushoto) akipozi na Joh Makini .

Martha Mboma (kulia), Omary Mdose (kushoto) wakipozi na Joh Makini.

Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph akisalimiana na Joh Makini.

Kigogo wa Kitengo cha IT Global, Clarence Mulisa akipozi na Joh Makini.

Wilbert Molandi (kulia) akipozi na Joh Makini.

Pam D akishow love na Joh Makini.

(PICHA NA GLOBAL TV ONLINE)

No comments:

Post a Comment