
MADEREVA wawili wa mabasi ya masafa marefu wanashikiliwa na jeshi la
polisi mkoani Singida baada ya kugundulika kutumia pombe wakati wakiwa
kazini.
Kamishina Msaidizi wa polisi kutoka Makao Makuu Kitengo cha elimu kwa
umma Usalama Barabarani, Abel Swai alisema kuwa madereva hao wawili
walinaswa wakati wa kupima madereva wa mabasi watumiaji wa pombe wakiwa
barabarani mjini hapa juzi.
Alisema pia wamekuwa wakikagua madereva wanaotumia vyombo vya moto,
watembea kwa miguu na wasukuma matoroli ili kuona kuwa wanazingatia
kikamilifu sheria zote za usalama barabarani bila shuruti.
“Iwapo...
No comments:
Post a Comment