Saturday, 10 January 2015

MTOTO WA MSANII AMINI AFARIKI JIJINI DAR LEO JION ,MSANII HUYU AFUNGUKA NAKUDAI HAYA....




 
Mke wa msanii wa muziki Amini, Farida akiwa na mimba.

Msanii wa Bongo Flava, Amini.

Mke wa msanii wa muziki Amini, Farida jana jioni alijifungua kwa operesheni lakini kwa bahati mtoto ambaye kwa bahati mbaya alifariki katika Hospitali ya Sisa Mwananyamala jijini Dar.

No comments:

Post a Comment