Hivi ndivyo wema sepetu alivyoweka historia Mkoani Dodoma ndani ya ukumbi wa#matei_lounge kwenye mkesha wa mwaka mpya 2014- 2015 ... Japo kulitokea maajabu ambayo tulishidwa kuelewa kuwa ni mungu au kuna mkono wa mtu.. Huwezi amini Mvua ilinyesha ndani ya eneo hilo tu muda mchache kabla ya wema sepetu kupanda jukwaani na kufanya yake...
Katika mji wote wa Dodoma ni ajabu sana mvua kunyesha eneo moja tu tena kukiwa kumetanda wingu la kufa mtu na cha kushangaza zaidi ukitoka eneo hilo kwenye eneo jingine ukitazama juu unaona hakuna dalili zozote za mvua kiukweli baada ya mvua kunyesha eneo hilo kwa dakika kadhaa kila mtu alionekana kuwa busy na simu yake ya mkoni akitaarifu wenzake kwamba eneo la #matei lounge kimenuka ..
No comments:
Post a Comment