Thursday, 8 January 2015

STAA WA BONGO MOVIE RIYAMA AJA NA KITU KIPYA CHEKI HAPA



Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;


“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula” Tukae mkao wa kula,tuisubir

No comments:

Post a Comment