
Mapenzi ya sasa yamejawa na
tamaa sana ya pesa kwa hiyo
hizi ndizo stage za kumteka
mwanamke step 1: Kumpa
vizawadi kila ifikapo
wikieni,ukiwa hivyo
utasababisha mpenzi wako
hakuamini xana step 2 : kumtoa
out ifikapo wikiend,hii ni hatua
nzuri ya kumfanya mpenzi
wako ajione mwenye bahati ya
pekee sana step 3 : kumpa
maneno matamu na
malaini,mwanaume
ukimwambia mwanamke
maneno matamu xana
hatajiona mwenye amani ktk
moyo
No comments:
Post a Comment