
Kulingana na ukuaji wa teknolojia watoto wadogo wamekuwa na uelewa wa mambo mengi, japo sio vizuri wakajua kila kitu wakiwa na umri mdogo, je kama mzazi ulishawahi kukaa na mtoto wako ukajaribu kumdadisi kama anauelewa wa kujua jinsi mtoto anavyopatikana?


Swali ambalo limeulizwa kwa watoto hawa ni kuhusu kupima utashi wao wanaelewa nini kuhusu namna mtoto anavyopatikana?
Baadhi ya watoto walijibu kwamba Mungu alituma mtoto kwenye tumbo la mama ili waweze kuzaliwa, na wengine wakajibu wanavyohisi ni sawa, shida ikawa pale walipoelezwa ukweli!

Icheki video na picha zao wakati wa mjadala huo
No comments:
Post a Comment